Jumatano, 25 Novemba 2015

KARIBU NEEMA INSTITUTE OF NGO MANAGEMENT


Neema  Institute  Of  NGO  Management  inahusika na  kutoa ushauri  kuhusu uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi wa  mashirika  yasiyokuwa  ya   kiserikali
( NGOs )

Pia  inajihusisha  na kutoa  ushauri ( consultation ) kuhusu  uanzishaji, uendeshaji  na  usimamizi  wa  biashara  ndogondogo.

Vilevile  tunajihusisha  na  kutoa  mafunzo  ya  ujasiriamali  kwa  wajasiriamali  wadogo  wadogo  na  wajasiriamali  wa  size  ya  kati.

Pia tunajihusisha  na huduma  ya  kuuza  vifungashio vya  bidhaa  kwa  wajasiriamali  wadogo  wadogo .


Tunapatikana  Ubungo  jijini  Dar  Es  Salaam, jirani na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA. Wasiliana  nasi  kwa   simu  namba  0787  016 929.

Barua  pepe : neemainstitute@gmail.com