Jumanne, 24 Oktoba 2017

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI JINSI YA KUTENGENEZA PIPI ZA VIJITI KWA KUTUMIA SUKARI GURU NA SUKARI YA KAWAIDA

Related image
Sukari Guru

Wewe  ni  Mjasiriamali  mdogo  ?  Unataka  kupata  ujuzi  sahihi  utakao  kusaidia  kuongeza  kipato  chako ?
Kama  jibu  lako  ni  NDIO  basi  hii ni  HABARI  NJEMA  SANA  KWAKO.

 Neema  Institute  Of  NGO  Management  wanakutangazia  nafasi  za  kushiriki  katika   mafunzo  ya  ujasiriamali.
Somo  litakalo  fundishwa  ni  namna    ya KUTENGENEZA  PIPI  ZA VIJITI kwa  kutumia  SUKARI  GURU  na  SUKARI  YA  KAWAIDA.

Mafunzo  haya yatafanyika    siku  ya  JUMAMOSI  ya  tarehe  04  NOVEMBA  2017  kuanzia  SAA  TATU  KAMILI ASUBUHI   katika  madarasa  ya   MBUJI  EDUCATION  CENTER   yaliyopo  mtaa  wa  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO PLAZA  jirani  na  KAGAME  HOTELI.

ADA  ya  kushiriki  katika  mafunzo  haya  ni   NAFUU SANA.

Tunapatikana  mtaa  wa  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.

Mwisho  wa  kujiandikisha  katika  mafunzo  haya  ni  siku  ya  Ijumaa  ya  tarehe  03 NOVEMBA 2017  saa  kumi kamili  jioni.

Kujiandikisha  katika  mafunzo haya, wasiliana  nasi  kwa   SIMU    0787  016  929.

FAIDA   ZA   KUSHIRIKI   KATIKA  MAFUNZO  HAYA

Pipi  za  vijiti  zinazo  tengenezwa  kwa  kutumia  SUKARI  GURU  na  SUKARI  YA  KAWAIDA  ni  bidhaa  inayo  pendwa   sana  na  watoto  wa  shule  za  msingi , sekondari  na watoto  wote  kwa  ujumla.

Ujuzi  wa  kutengeneza  pipi  hizi  utakusaidia  kuongeza  kipato  chako.

 Kama  wewe  ni  mjasiriamali  ambae  tayari  una  nafasi  ya  kuuza  biashara  kwenye  eneo la  shule, mafunzo  haya  yatakupa  ujuzi  utakao  kuongezea  kipato.


CHANGAMKIA  FURSA  HII  MAPEMA.